BENNICK
JF-Expert Member
- May 2, 2013
- 634
- 866
Shemela wangu huyu siwezi muita mahali hapa mkewe atachukia
Happy boxing day to y'all,as for me I haven't unboxed anything yet. Been watching movies tu.View attachment 1304305
Sent using Jamii Forums mobile app
Tabata Bayma...ndio Tabata Bima [emoji3][emoji3] kuna rafiki angu mmoja anaishi huko, Tabata shule uwahilin kama Mwananyamala
Kuita ngoma old school au sio ni kutokana na mtazamo wa mtu..Mkuu, nadhani ungeanzia 2008 kurudi nyuma angalau kidogo ungeitendea haki Bongo Fleva..
Kuanzia 2009/2010 hapo ndio zikaanza hizi vurugu za beat makers na wasanii wao kuvuruga ladha ya kamziki ketu..
Ngoma ya 2014 uipe hadhi ya Old Skool? Cu'moon.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] socket la kitchen limezingua liko loose, nikaona isiwe kesiMzee unapika ubwabwa sebuleni au ni heater ile?
Hata hatuchekani.
Hahaha...poa kaka[emoji1] [emoji1] socket la kitchen limezingua liko loose, nikaona isiwe kesi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe tu, ila usiibe kucha za watu [emoji1787]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tabata ya hii ya mto msimbazi pooohh!!!vingunguti plusTabata Bayma...ndio Tabata Bima [emoji3][emoji3] kuna rafiki angu mmoja anaishi huko, Tabata shule uwahilin kama Mwananyamala
Nikikuonesha za kwangu mbona utasema alhamdulillah,, hizo zako ndefu kabisa mama..
Sent using Jamii Forums mobile app
Shemela wangu huyu siwezi muita mahali hapa mkewe atachukia
Hahahahah hii comment yako imenichekesha eti Ka Vitz kanazama kazima kazima 😂😂😂😂😂🙌Barabara ilikuwa ina mashimo makubwa kuliko Ziwa Victoria, ukiwa na ki ViTZ kinazama kizima kizima kukipata labda mtafute meli ije kukiengua kutoka chini huko!
Nipe tu location nakuja mama
Pakeni asali[emoji3][emoji3][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hivi shida Ni nini eti...!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]