Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Happy boxing day to y'all,as for me I haven't unboxed anything yet. Been watching movies tu.
IMG_20191226_215643.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heheh...
Tabata ipi hiyo ya kishua, labda miaka ile ya 94 hadi 97 wakati ndio Tabata imeanza vamiwa na wenye hela...

Before hapo ilikuwa madimbwi ya maji kunalimwa mpunga na baada ya hapo kumekuwa slum...walau Tabata Kinyerezi na Segerea ndio kuna ushua kidogo
Barabara ilikuwa ina mashimo makubwa kuliko Ziwa Victoria, ukiwa na ki ViTZ kinazama kizima kizima kukipata labda mtafute meli ije kukiengua kutoka chini huko!
 
Your apologies is accepted..
Old school songs nilizonazo zipo kama 1800+ hapo kwenye screenshot sidhani kama zinaonekana hata 200. Umeona cgache kuliko nyingi zilizobakia..
Old song mimi hua naziita zile za kuanzia 2014 mpaka 2000
Mkuu, nadhani ungeanzia 2008 kurudi nyuma angalau kidogo ungeitendea haki Bongo Fleva..

Kuanzia 2009/2010 hapo ndio zikaanza hizi vurugu za beat makers na wasanii wao kuvuruga ladha ya kamziki ketu..

Ngoma ya 2014 uipe hadhi ya Old Skool? Cu'moon.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah Kinyerezi na Segerea,, hata Bima na Kisukuru pia naona kuna sehemu watu wameshusha mijengo..
Heheh...
Tabata ipi hiyo ya kishua, labda miaka ile ya 94 hadi 97 wakati ndio Tabata imeanza vamiwa na wenye hela...

Before hapo ilikuwa madimbwi ya maji kunalimwa mpunga na baada ya hapo kumekuwa slum...walau Tabata Kinyerezi na Segerea ndio kuna ushua kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, nadhani ungeanzia 2008 kurudi nyuma angalau kidogo ungeitendea haki Bongo Fleva..

Kuanzia 2009/2010 hapo ndio zikaanza hizi vurugu za beat makers na wasanii wao kuvuruga ladha ya kamziki ketu..

Ngoma ya 2014 uipe hadhi ya Old Skool? Cu'moon.

Sent using Jamii Forums mobile app

Touché

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom