Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
Msafiri: Konda mbona gari haina siti
Konda: Ungekuja nayo toka kwenu
Msafiri: Mxuuuuuu, nishushe nimesema nishusheeee
Wasafiri:![]()



mtunane bwana! Naibiwa mkuu! Watu wamepanda dau na sikukuu hii..Jina gani kaka yangu?Naomba hilo jina life kwanza, tuendelee!!
Mkwe lini umeanza usanii?
Msafiri: Konda mbona gari haina siti
Konda: Ungekuja nayo toka kwenu
Msafiri: Mxuuuuuu, nishushe nimesema nishusheeee
Wasafiri:![]()
Ndio.Huyu mkwe sijui kanyimwa chenji leo, ana biti sio ya nchi hii
Nipo mama, wewe ndio unafichwa hatari.
mtunane bwana! Naibiwa mkuu! Watu wamepanda dau na sikukuu hii..





Nipo mama, wewe ndio unafichwa hatari.



wapiii!nipo halafu huaga busy na marble king tu




Acha kunisingizia jamani![]()



Hahahaha, Mzee mwenzangu ,hapo sema ulitekwa na watu wasiojulikana

🤣Hivii si ulikuwa umeokoka mdogo wangu?
that's my sweet c'ssy now.!!Asante jamani dear
Hahahahahathat's my sweet c'ssy now.!!
Huyu dada mpole ndo nimemzoea sasa.!
Finally..!