Hahahaha umenikumbusha kule Kinyerezi karibu na home kuna mtu alijenga nyumba yake nzuri tu tena pembeni ya barabara,, sasa alipojenga ni kama pameenda chini hivi kwahiyo mvua ikinyesha maji yote yanatuama pale kwake kuanzia nje yanaingia hadi ndani kiasi mali zake zikawa zinaelea..
Aise sasa hivi amehama ameamua kuifanya kama kashule tu ka nursery kachorachora vikatuni kwa nje kwenye nyumba na kwenye fensi then imekuwa shule,, alijenga pabaya sana pale yaani ukipaangalia utasema shamba la mpunga kumbe pamekaa vibaya tu maana ni kama kabwawa kabisa..
Sent using
Jamii Forums mobile app