Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,623
Ngoja tukasali kwanza.Nasubiri picha ya nyama nyama na mahanjumati hapa
Nikirudi nitapika mahanjumati Iceberg
Ngoja tukasali kwanza.Nasubiri picha ya nyama nyama na mahanjumati hapa
Umejifichia Shanty town sio😀😀Merry Christmas to all of you fellas...nawakubali sana wazee wa selfie
Mimi nimeamua kujificha mahali View attachment 1303070View attachment 1303071
Nitasubiri hapaNgoja tukasali kwanza.
Nikirudi nitapika mahanjumati Iceberg
Mkuu hii wap hii ?maana upareni panafanana sana . Kuanzia Usangi,lembeni,gonja,ugweno,kisangara mandhari zake zinafanana sana haswa ikiwekwa kwenye picha hivyo ni vigumu kufahamu
Mkuu hii wap hii ?maana upareni panafanana sana . Kuanzia Usangi,lembeni,gonja,ugweno,kisangara mandhari zake zinafanana sana haswa ikiwekwa kwenye picha hivyo ni vigumu kufahamuView attachment 1303447

I'm so sorry bbygirl,Uuh, really terrible, but I'm alive.
Thank you for asking dear sweetheart.
How about yourself?
Nitauweka wapi uso wangu hadii wewe ukininunia jamaani..!!Nimewanunia woote!!
Hali yangu kama yako dear, nimelala mpaka nimeota! Simu haina hata missed call ya uongo!
Heri ya Christmas wapendwa wangu!!
Ndo naamka, kwa masikitiko makubwa sijapata mwaliko kabisaa!!
Nawamiss sana, nawapenda sana japo wachoyo!

dah kwahiyo ndiyo umeamua kula sikukuu peke yako bila hata kunialika siyo??
Usiku mwema.
Najiombea mwenyewe jamaniNitauweka wapi uso wangu hadii wewe ukininunia jamaani..!!
Usinune sana mie nitakuombea kheri na baraka kwa Mungu dada mzuri..!
Mwenyewe
May the Lord lift up his countenance upon you and give you peace.This made me feel good and I actually feel like I exist.
![]()

Sina sikukuu mimi.dah kwahiyo ndiyo umeamua kula sikukuu peke yako bila hata kunialika siyo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uchoyo jamani uende mbinguni mdogo wangu
kesho zipo zikoje zikoje kwani?Me najua we hizo hutumiagi...nakukaribisha kesho![]()