Kapwil
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 2,618
- 3,744
Karma kabla ya kula ugali wangu naanza na hii View attachment 1303154
uchoyo tu hata karibu ya kinafiki?Karma kabla ya kula ugali wangu naanza na hii View attachment 1303154
🔥🔥🔥Old is gold
Nipo naangalia hii movie wakuu.
xmass imenikuta pabaya hii aise acha kabisa mbaya zaid EPL hamna ,sket ipo mbali,pesa hamna yaan ni mtafaruku kbsView attachment 1303072
Eeh hadi Namanga sio? Dk 0 zijazo nakutajia location [emoji23][emoji23][emoji23]
Duh! Hapo kwenye hilo harage unanipeleka mbaaaaaali sana mkuu[emoji30]Roho inauma siku kama ya leo nile harage mkuu [emoji1][emoji1]
Uko mbali ulipoenda wasalimie mkuuDuh! Hapo kwenye hilo harage unanipeleka mbaaaaaali sana mkuu[emoji30]
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu sana 😂[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] we dada mwaka mpya nakuwa mgeni wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Me najua we hizo hutumiagi...nakukaribisha kesho 😀
Wakishachangamka watajikuta wanapost pic bila emojDuhhhh, Kimya tena , saa nane hii, Watu wapo busy kupakua na kumimina drinks! Suburini wachangamke na hizo drinks [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1476]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wanaume na kanisani sijui kwanini tu[emoji134]
Kibaoni au kwa ndevu? 😀😀 au nitoke kabisa Tegeta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio namanga hiyo mpendwa
Duh! Hapo kwenye hilo harage unanipeleka mbaaaaaali sana mkuu[emoji30]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakishachangamka watajikuta wanapost pic bila emoj
Karibu sana [emoji23]
😂😂😂 mls hizi hizi au zile za alc %?Ile chupa ile inasoma Millimeter ngapi moja sasa ? Ulianza kabla ya Ugali [emoji23].
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kibaoni au kwa ndevu? [emoji3][emoji3] au nitoke kabisa Tegeta
Sasa nije Nyaishozi nitamkuta nani?