Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Mbona umewezaDada majukumu tu, kukutenga wewe naanzaje??
Mbona umewezaDada majukumu tu, kukutenga wewe naanzaje??
Naomba overview kidogo ya the witcher mkuu.. naona wengi wanaipenda
Naomba overview kidogo ya the witcher mkuu.. naona wengi wanaipenda
Merry Christmas
MUNGU aliupenda ulimwenguView attachment 1303541
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada sijawahi kukuona umechukia hivii lakini!!Mbona umeweza
Mimi toka saa 9 nimeweka playlist ya nyimbo za old bongofleva mpka sasa nipo nasikiliza..zipo 1881Ok.. JF WAKO VIZURIView attachment 1303543
Mwenyewe nimeona imepata reviews za maana. Ila ratiba zangu zimenifanya naangalia episode ya kwanza karibia wiki sasa. Labda baada ya usiku wa leo ntaweza kusema kitu.
Kwa nini ukule siku kuu mwenyewe?!Dada sijawahi kukuona umechukia hivii lakini!!
Aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe wa pekee,ili kila amuaminiye asipotee Bali awe na uzima wa milele.Ikawaje sasa, mkuu? Maana kwa yanayoendelea ulimwenguni sasa, sidhani kama bado anaupenda. Global warming, wasiojulikana, magonjwa ya ajabu, njaa, n.k.
Naona princess kashashika utawala..Hapa kwenyewe tab nimenyang'anywa. Ndio maana nashindwa hata kufuatilia hizi vitu.
View attachment 1303553
Soma soma hapa..Ikawaje sasa, mkuu? Maana kwa yanayoendelea ulimwenguni sasa, sidhani kama bado anaupenda. Global warming, wasiojulikana, magonjwa ya ajabu, njaa, n.k.
Wee jamaa una undugu na huyu mshua hapa..Huyu nimemwambia akalale, anasema anataka maziwa sababu anaumwa mguu. Huyu sasa amenizidi vituko. Anyway, ngoja tuone baada ya maziwa kitafuata nini.
View attachment 1303554
View attachment 1303555
Aisee hao ulio wataja mbona siwajuiMimi toka saa 9 nimeweka playlist ya nyimbo za old bongofleva mpka sasa nipo nasikiliza..zipo 1881
Hadi zote ziishe itanichukua masaa 143.
Mziki wa zamani ulikua mziki mtamu sana nimeona..D knob na Jeby nimewasikiliza sana leo
View attachment 1303548View attachment 1303549
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Mtoto anaenjoy maishaHuyu nimemwambia akalale, anasema anataka maziwa sababu anaumwa mguu. Huyu sasa amenizidi vituko. Anyway, ngoja tuone baada ya maziwa kitafuata nini.
View attachment 1303554
View attachment 1303555