Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,416
OkeyTayari shem.
OkeyTayari shem.
Jamani jamani 😩😩😩Hapo kanachezea simu mama yuko jikoni anapika ni kadogo ketu tukasamehe 😄😄
Kwa mtazamo wangu naona Si sahihiNaomba kuuliza
Happy marryxmass ni lugha sahihi?!
Mimi huyuuuu....No no nooo 😂😂😂Amekweli Shukrani ya punda ni....
Nakumbuka ulikuja nyumbani ukapiga ubweche na soda😄😄
Hapo safi nipo tips sasa...
Nachangia kodi Megapixel 23 jamaa yangu nimemmiss...View attachment 1302880
Sent using Jamii Forums mobile app
Merry Christmas to all of you fellas...nawakubali sana wazee wa selfie
Mimi nimeamua kujificha mahali View attachment 1303070View attachment 1303071
Hahahaha, sasa wewe ndio una enjoyOld is gold
Nipo naangalia hii movie wakuu.
xmass imenikuta pabaya hii aise acha kabisa mbaya zaid EPL hamna ,sket ipo mbali,pesa hamna yaan ni mtafaruku kbsView attachment 1303072
Kiaje mkuu naenjoy hapo??Hahahaha, sasa wewe ndio una enjoy
MTC | 101| [emoji769]
Waliopo hospitalini watasemaje?Old is gold
Nipo naangalia hii movie wakuu.
xmass imenikuta pabaya hii aise acha kabisa mbaya zaid EPL hamna ,sket ipo mbali,pesa hamna yaan ni mtafaruku kbsView attachment 1303072
Hiyo movie ya War Bus ,zile sound track za humoKiaje mkuu naenjoy hapo??