kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,653
Unasoma Biblia ama ushangaa kwenye pc?
Umemalizia sikukuu kiutumishi na Bible pembeni
Mkuu uliaga kama unaenda kulala vipi kitanda kimekugomeaAcha uchoyo jamani uende mbinguni mdogo wangu
Kwenye PC Sina Cha kushangaa zaidi ya kusikiliza wimbo.Unasoma Biblia ama ushangaa kwenye pc?
Nipe mstari wa siku?Kwenye PC Sina Cha kushangaa zaidi ya kusikiliza wimbo.
Bible hapo ndipo mahala pake inapokaaga.
Nikitaka kusoma nitaifungua
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante....japo Injili uliikosa naona
Njoo ujibu kesi ya dada Sakayo maana Leo sijui tutalala wapi..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada majukumu tu, kukutenga wewe naanzaje??Najiombea mwenyewe jamani
Nyie sio wa kunitenga mimi kiasi hicho kabisaa
Hakuwepo mchungaji.Asante....japo Injili uliikosa naona
Sijaaga