NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,726
- 49,572
Hongera sana.
Baadae saa kumi na moja na nusu tutafutane!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hongera sana.

Kabisaaaaa. Nshawahi kuwepo hilo chimbo mzee.babkubwa sana mzee baba. kula maisha, halafu hili chimbo kama nalijua vilee. sio kigamboni hii?![]()
Chimbo la AKILI hiliMerry Christmas to all of you fellas...nawakubali sana wazee wa selfie
Mimi nimeamua kujificha mahali View attachment 1303070View attachment 1303071

I was wrong too bobThanks mzee, hili chimbo halipo kigamboni ila ni hapa hapa dsm kaeneo flani kamejificha kati ya mwenge mpaka namanga
Poa, kazi njema.Baadae saa kumi na moja na nusu tutafutane!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahaha wachaaa uongoMpaka mda huu bila bila wallah ngoja nibandike mboga ya taifa(maharage)
Mzee piga mzigo, safi sanaaa
Ngoja nikutafute nkamu
Mzee hiyo ni Samsung galaxy watch?
All you need is love
Eeh hadi Namanga sio? Dk 0 zijazo nakutajia location 😂😂😂Thanks mzee, hili chimbo halipo kigamboni ila ni hapa hapa dsm kaeneo flani kamejificha kati ya mwenge mpaka namanga
Oldsmobile....
I’ve always wanted a lowrider.
We’ll see what Santa has for me down the chimney.
View attachment 1302691View attachment 1302692View attachment 1302693