Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,201
Bora umekuja saa ngapi nije home 😍😂 😂 😂
Nikajua utanipa maneno ya faraja na ki mpesa juu, ndo kwaaanza kamtu kanasema afadhali..!!
Same to you lil sis.!😍
Bora umekuja saa ngapi nije home 😍😂 😂 😂
Nikajua utanipa maneno ya faraja na ki mpesa juu, ndo kwaaanza kamtu kanasema afadhali..!!
Same to you lil sis.!😍
Hahahaha, nakuja na samaki wa kukaanga ,tumalize sikuMpaka mda huu bila bila wallah ngoja nibandike mboga ya taifa(maharage)

Roho inauma siku kama ya leo nile harage mkuu 😄😄, bandika Kama Back up , Baadae Kama Kawa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wine na dagaa.!!?😂😂😂Karibu, nimesonga ugali hapa na dagaa mlenda. Njoo na wine, beer utazikuta huku huku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee nunua hata kuku wa kizungu wa buku kumi tuje kumpike😄😄Hahahaha, nakuja na samaki wa kukaanga ,tumalize siku
MTC | 101|![]()
Ngoja nisome ramani mumie halafu nitakujulisha, Mimi na wewe hatutupani kamwe si unajua.!!Bora umekuja saa ngapi nije home 😍
Wine na dagaa.!!?
Hiyo pesa ya wine tununue tu nyama hakyamama!
Utakuwepo tu tunakimbiana mpendwa leo😄😄A very wonderful day to you my fam..! 😍 😍
Karibuni nyumbani, (kama nitakuwepo lakini)😂
Sawa nanunua wa kienyeji Kabisa, sema na nn kingine nibebe ,niko mwenge sokoni hapaAisee nunua hata kuku wa kizungu wa buku kumi tuje kumpika![]()

Hahahaa.!Utakuwepo tu tunakimbiana mpendwa leo😄😄
Hahaha,Umenifanya nicheke sana aisee. Dagaa wanaweza kulewa na kuleta fujo tumboni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchele ule wa morogoro😄😄Sawa nanunua wa kienyeji Kabisa, sema na nn kingine nibebe ,niko mwenge sokoni hapa
MTC | 101|![]()
Naona wapendwa wote hawapo Atoto anachungulia commentsWatajificha wote Leo hutoamini,
Wakishashiba jiooonii ndo wataanza kujitokeza.!!