Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama unataka cross borders basi anza kwa kwenda nearest destinations kama Ushelisheli au Comorro, au hata Mombasa sio mbaya...(nimetaja hizo vile kuna beaches)...plusthey're few hours away from TZ na sio gharama kihivyo
Huko tumeshaenda hadi tumechoka we wanna cross borders now,, we wanna go overseas by the way unajua mie ni mpenzi pia wa treni enh..

Kuna chombo kinaitwa rovos rail kiko south africa huwa kinakuja bongo mara moja moja kile nacho nakitamani sana ni moja kati ya luxurious trains duniani,, 15 days trip from dar es salaam to cape town njiani mnatalii tu na kula bata huku ndani kuna kila kitu ila uliza hizo nauli zake sasa ni ada ya IST kama siyo DIA kwa mwaka mzima..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah Mauritius na Comoros are in my list,, Madagascar na Seychelles nazo nitazifikiria..
Kama unataka cross borders basi anza kwa kwenda nearest destinations kama Ushelisheli au Comorro, au hata Mombasa sio mbaya...(nimetaja hizo vile kuna beaches)...plusthey're few hours away from TZ na sio gharama kihivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In Trump country, hata wasio na mahela kivile huwa wanaweza....

Thanks kwa tax returns....hususan kwa wenye mtoto au watoto au dependents wanaoweza kuwa claim kwenye returns zao.

Tax season is coming up.

Imagine getting a windfall of up to $15,000.00....

Hahahaaa that’s my favorite season of the year.
Hahah...

Wazee mna neema sana kwenye tax return
 
Hahah...hii ndio rough breakdown

Round trip ticket ya Doha ukikata muda mrefu kabla ni around 700$
Hotel ni 100$ per day
Usafiri 50$ per day
Food 100$ per day
Ticket naamini itakuwa kati ya 70$ hadi 150$ per game kwa sisi wa kawaida majukwaaa ya kati.Kam una mshikaji yupo UAE au Doha unaweza pata nafuu zaidi maana mara nyingi kwa wenyeji huwa wanauziwa bei ordinary

Visa kwa Qatar unapata Visa pale pale airport na ni bure (kwa uzoefu wangu wa mara moja niliyoingia hapo kwao sina uhakika kama watabadili sheria comes WC)

Sasa piga hesabu tu hizo gharama za per day kwa masiku utakaa
Haha yeah nakumbuka ila hiyo ni hadi 2022

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah itabidi nijitahidi kaka,, hapa nilipo ndiyo kwanza nawaza kilimanjaro six na kilimanjaro seven hizo sky princess na lady moura sijui nitazikuta lini..

Sent using Jamii Forums mobile app
Save laki mbili na buku ishirini kila mwezi ndoto yako itatimia baada ya mwaka.Hayo majina siju princess blahblah yasikutishe.
 
Daah imebidi niisave hii gif for future reference daah one day yes never say never

Sent using Jamii Forums mobile app
cruise ship yenyewe ndio hii hapa. inaitwa sky princess. kimuundo inataka kufanana na titanic ship.

sema hii ni ya generation ya kisasa zaidi.
humo ndani unaweza hisi upo peponi kwa jinsi kunavyovutia, kila starehe inapatikaa.
GIF-191223_190903.gif
 
Hahahaha aise tena hapo tuombe hadi kufikia huo mwaka bei ziwe hazijapanda na hela yetu isiwe imeshuka tena thamani

Hapo kwa sasa hivi si chini ya million 5 yaani
Hahah...hii ndio rough breakdown

Round trip ticket ya Doha ukikata muda mrefu kabla ni around 700$
Hotel ni 100$ per day
Usafiri 50$ per day
Food 100$ per day
Ticket naamini itakuwa kati ya 70$ hadi 150$ per game kwa sisi wa kawaida majukwaaa ya kati.Kam una mshikaji yupo UAE au Doha unaweza pata nafuu zaidi maana mara nyingi kwa wenyeji huwa wanauziwa bei ordinary

Visa kwa Qatar unapata Visa pale pale airport na ni bure (kwa uzoefu wangu wa mara moja niliyoingia hapo kwao sina uhakika kama watabadili sheria comes WC)

Sasa piga hesabu tu hizo gharama za per day kwa masiku utakaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama wewe ni mmoja ya watu ambao wamekuwa wanatoa "LIKES" kwenye post zangu ndani ya topic hii, basi fahamu wewe ni mtu wa thamani sana kwangu.

uwe na sherehe njema za xmas na mwaka mpya.

hawa ni baadhi tu, najua mpo wengi. shukrani kwenu wote.
IMG_20191223_192551.jpeg
IMG_20191223_192602.jpeg
 
Yeah kweli kabisa mkuu saving ni muhimu bora nianze kufanya saving sasa hivi nikiwa sina majukumu mengi,, maana kila siku nikisema nitaanza kusave kesho kesho kesho kwanza kesho haijawahi kuwepo..
Save laki mbili na buku ishirini kila mwezi ndoto yako itatimia baada ya mwaka.Hayo majina siju princess blahblah yasikutishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama una mpango wa kwenda ina maana unaanza hifadhi USD sasa hivi...

Tena ukiweza unafungua kabisa account ya USD ya savings tu
Hahahaha aise tena hapo tuombe hadi kufikia huo mwaka bei ziwe hazijapanda na hela yetu isiwe imeshuka tena thamani

Hapo kwa sasa hivi si chini ya million 5 yaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom