Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Yaani nakukwepa wewe halafu nikwambie tena?
Hapana aiseee 😫😫😫😫😫😫😫Eti kaniambia mm n mwanakondoo kwahyo napaswa kumfuata[emoji2][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana long trip mkuu, unaenda kuongeza nguvu nini [emoji48] [emoji48]
Ndivyo ilivyo ....sio rahisi kupotea ukifwata nyao zangu kama kiongozi wa diniEti kaniambia mm n mwanakondoo kwahyo napaswa kumfuata[emoji2][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante
Nakuchungia ili asiharibikeHapana aiseee [emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
Hahahahaha sawa...Mimi nimesema noted.
Downloaded for future use.
Loh!hapa nilipo nina mambo mengi hadi nilikuwa sijui naandika nini asee
Usinikwepe kama nikikukosea niambie nibadilike
Ahsante kwa wema wako.Nakuchungia ili asiharibike
Hahahahaha sawa...
Lakini huu uzi wa kuchat na picha yako sijaiona
Jambo TanzaniaView attachment 1298154
Hii shot kama umeipiga wewe unaweza jipata unaingiza hela...Jambo TanzaniaView attachment 1298154
Hapana sio mimiHii shot kama umeipiga wewe unaweza jipata unaingiza hela...
icho kitendo tuna kiitaje kwenye maisha kawaida?I like this
Jr[emoji769]
Hapana sio mimi