Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,856
- 89,755
That's my mtarajiwa 😅😍😂Hii iwe Mara ya mwisho kupeleka vidole navyo vimiliki sehemu nyingine
Ntakuwa na kuosha na kukupaka Mimi tu
Ntaja kumaliza mtu mama lai
That's my mtarajiwa 😅😍😂Hii iwe Mara ya mwisho kupeleka vidole navyo vimiliki sehemu nyingine
Ntakuwa na kuosha na kukupaka Mimi tu
Ntaja kumaliza mtu mama lai
That's my mtarajiwa 😅😍😂
Mmh!
Hii ndoa yangu na wewe ikivuka mwaka huu itakuwa imedumu.
Unataka kuniacha?
Baba paroko unataka kubadili msimamo 😀😀😀😀Moyo unaumaaa unavyoniangusha ..nitapiga cross na nifunge mwenyewe
Hakawii kunibadilikia baba paroko.
Nasubiri kipyenga kipurizwe nibebe mpira hahahahaBaba paroko unataka kubadili msimamo![]()
Hivi kumbe kuna uwezekano nikalevywa???Hivyo vitu utoe kwa kiasi sio sanaaa ukamlevya
Tuwe makini na baba paroko aiseee
🤣🤣🤣🤣🤣Hahahaha kabisa nabeba mpira naanza kujipa raha mimi
Itabidi nimwachie kijiti huyo mtarajiwa wako Sanchezi. Maana nimeshindwa kushindana naye.
Usifanye hivyo
Huyo namtania na ye anajua
Mkuu unakimbia vita???Itabidi nimwachie kijiti huyo mtarajiwa wako Sanchezi. Maana nimeshindwa kushindana naye.
Mmh! Nitaweza kweli kuona mnataniana hivi hivi.
Hahahahahahaha.Nasubiri kipyenga kipurizwe nibebe mpira hahahaha
Ukisusa wenzako wanakulaItabidi nimwachie kijiti huyo mtarajiwa wako Sanchezi. Maana nimeshindwa kushindana naye.
Mkuu unakimbia vita???
Don hawezi kufanya hivyo. I guess alikuwa anataka ajihakikishie nafasi yake bado ipo au Sanchez magoli kashampindua??Asifanye hivyo please
Basi naacha kutaniana nae kuanzia sa hivi 😔😯