Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,211
Karibu mno baba J
Unakuja kabisa au nikufate..
Karibu mno baba J
Luda had me feeling cute. Thought I could take on anybody. Lol...we live to battle another day.
View attachment 1296313
View attachment 1296316
View attachment 1296317
View attachment 1296318

😂😂😂😂 kwani kukuacha ndani mwenyewe sh ngapi?lazima nichague sasa kama sili je,, yaani we siku nikiwa mgeni wako ujipange tu.. nitakusumbua hadi unitimue
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂 sijui sababu kwa kweliHuyu mbona ana like zako tu![]()
Nasikia mkinywa hizi huwa mnapatwa na ugonjwa wa kupanua miguu!
Probably mzee wa frog 😎Nasikia mkinywa hizi huwa mnapatwa na ugonjwa wa kupanua miguu!
Najikoki vyema 😀😀Piga za kutosha mama..
Nakuja
Jikoki mama nikija tunaenda zetu paradiso..Najikoki vyema![]()



We njoo nimewasaidia wengi sana.Nilikuwa na msimamo kama wa joanah ila naona shetani ananizidi nguvu!
Seriously kuna wakati natamani kuonana na watu kwa ajili ya kupeana mawazo ya maendeleo, najua humu hatulingani, humu kuna watu wenye connection mob! Ila wasi wasi wangu ni je, hawa watu tutaendana kitabia?!
Haya!We njoo nimewasaidia wengi sana.
Age yangu hii sasa ni kutoa ushauri
Maana jogoo hawiki
Akiwika not on time
Sent using Jamii Forums mobile app
Be real usiogope kuwa exposed, hayo ndio wewe whether yanampenndezesha A au BMwenyezi Mungu anijaalie msimamo wangu uwe huu huu siku zote,miaka yote hadi nitakapoacha kutumia hii JF
Tatizo la humu unaweza kukutana na lets say ID ya Sakayo Watu8 Karma Depal Hawachi labda na Khantwe
Sasa unakuja kushangaa anayekuja kukuexpose jukwaani ni ID mpya kabisaaaa tofauti na hizo sita ulizowahi kumeet nazo....hapo ndio unapata kizunguzungu unaanza kubet sijui nani kati ya hao atakuwa kanianika?!!
Sasa why upate shida zote hizo?