Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,543
usichelewe kumpitia Ethan shuleni kama Jana ulivyofanya ndo mida yake hii 😛 😛Basi naacha kutaniana nae kuanzia sa hivi 😔😯
usichelewe kumpitia Ethan shuleni kama Jana ulivyofanya ndo mida yake hii 😛 😛Basi naacha kutaniana nae kuanzia sa hivi 😔😯
Mkuu unakimbia vita???
You have a big mind.Kwenye kitabu cha Why We Want You To Be Rich, cha Donald Trump na Robert Kiyosaki kuna msitari unasema:-
“Sometimes it’s best to walk away and live to fight another day,” and “Choose your battles carefully".
Kudaadeki
Nimevutiwa hadi na vidole tu!Jioni njema View attachment 1297322



Jioni njema View attachment 1297322
Hapo sawa, maana unaweza sababisha nikaiacha hii ID
Eti kaniambia mm n mwanakondoo kwahyo napaswa kumfuataTuwe makini na baba paroko aiseee



😂😂😂😂😂 dah!!usichelewe kumpitia Ethan shuleni kama Jana ulivyofanya ndo mida yake hii 😛 😛
Ukiiacha hii ID ukahamia nyingine naomba uniambie
Hakawii kunibadilikia baba paroko.
Ila ok sina presha, nishatuma chocolate naskilizia kwanza



Chat na pichaNoted...