Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Karibu mtori man View attachment 1298015
Haha hiyo flex hai-match mkuu. Angalia kitaa tuna njaa, hatukawii kupita na meza.
Karibu mtori man View attachment 1298015
Mkuu hii unaingilia wapi, namaanisha site unayotumia kushusha huu mzigo
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Mkwe nguo za sikukuu ni kwa watoto...
Sisi watu wazima huwa twala bata
Hapo sawaNataka kukagua tu na kupitisha sionji kitu chochote
Mkuu hii unaingilia wapi, namaanisha site unayotumia kushusha huu mzigo
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha hiyo flex hai-match mkuu. Angalia kitaa tuna njaa, hatukawii kupita na meza.
Sio kweli hebu chungulia hapaView attachment 1268327
Specifically for MshanaMshana si unizawadie tu dada ako kavocha kakujiselfisha jf. Mshana Jr natumai hutoniangusha ila nitumie privet maana kuna watu wataiiba
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakora waitu
Jr[emoji769]
Mshana si unizawadie tu dada ako kavocha kakujiselfisha jf. Mshana Jr natumai hutoniangusha ila nitumie privet maana kuna watu wataiiba
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha kitaa kugumu kweli kweli, hamna wa kupita na meza hapa
hapa nimemaliza kutoa lecture nilikuwa High AF ngoja nikalale sasaView attachment 1298020
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hahahahahahahahaha. Sitaki kukuuliza nani ni fisi na nani ni nyama
Hawa sio ngedere wa UDSM kweli?
Tahadhari: mimi sio fisi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Baba paroko usijebadili address ya mwenzio ukaeka yako nkaja kufanya Kaz za kujitolea[emoji1][emoji1][emoji1]Hiyo barua ipitishe kwangu kwanza ni hakiki muktadha wa barua ,
Kuepuka yote hayo, tafadhali andika tu address yangu.Baba paroko usijebadili address ya mwenzio ukaeka yako nkaja kufanya Kaz za kujitolea[emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]nkishakula chocolate ndo ntasemaUmeanza kumuita boss unataka interview au, muite aya mupenzi