Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu wapi naweza kupata perfume za smart collection Dar es salaam?

Sent using my 6x6 bed.
Kwa sasa viwanja vya Dar ukiniuliza nitakupa habari za zamani sana, kwa sababu sijakanyaga kitambo.

Mara ya mwisho nilikuja likizo, nikaenda Mlimani City, nikakuta chache mno halafu haziendi na wakati.

Labda tusubiri ma Al-Watan walio Dar watujulishe nasikia kuna viwanja vipya huko nikija mimi mwenyewe mwenye mji na viunga vyake naonekana mgeni.
 
Hiyo
Screenshot_20191218-181230_Chrome.jpeg

Sent using my 6x6 bed.
 
Kwa sasa viwanja vya Dar ukiniuliza nitakupa habari za zamani sana, kwa sababu sijakanyaga kitambo.

Mara ya mwisho nilikuja likizo, nikaenda Mlimani City, nikakuta chache mno halafu haziendi na wakati.

Labda tusubiri ma Al-Watan walio Dar watujulishe nasikia kuna viwanja vipya huko nikija mimi mwenyewe mwenye mji na viunga vyake naonekana mgeni.
Sawa Mkuu
 
Finally ,malizia basi kwa mzee nani...,mimi nipo mkwajuni.
Kuna perfume nilinunua smart collection no 321 sasa inakaribia kuisha,kila nikitafuta siipati,nisaidie basi kuitafuta ukifanikiwa nakununulia na wewe.

Hapa kwa mzee naniii bana M.....a.

Hiyo kazi naianza kesho, shida nikiipata si mpaka tuonane?!
 
Back
Top Bottom