We njoo nimewasaidia wengi sana.
Age yangu hii sasa ni kutoa ushauri
Maana jogoo hawiki
Akiwika not on time
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kisa cha Transcend kuja speed huko ni kwamba anakuja kutibu miguu inayopanuka bila hiari?Probably mzee wa frog![]()
AbeeAisee...
Cc @Sakayo

We njoo nimewasaidia wengi sana.
Age yangu hii sasa ni kutoa ushauri
Maana jogoo hawiki
Akiwika not on time
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah...hata mimi sijuisijui sababu kwa kweli
😀😀😀😀 ngoja nikakutafutie cha kuzimuliaJikoki mama nikija tunaenda zetu paradiso..
Niko hapa jirani nachukua proudly made in Tanzania..!
Leo ntu ataita maji mmaa..View attachment 1296377



yaani nitajisevia kila kilichomo humo ndani na vyenye napenda kula mimi uwii naomba niwe mgeni wako
kwani kukuacha ndani mwenyewe sh ngapi?
Na ambavyo sipendi usumbufu!!? Yan ni ghafla tu utashangaa sipo
Karibu Christmas.... bora ubaki unahangaika na vyakula kuliko unisumbue mimiHehehehe sasa ukiniacha mwenyewe si ndiyo itakuwa umemkabidhi kichaa rungu tena katikati ya sokoyaani nitajisevia kila kilichomo humo ndani na vyenye napenda kula mimi uwii naomba niwe mgeni wako
Sent using Jamii Forums mobile app