Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Ooh kumbe ndiyo maana umepewa hongera?? [emoji85][emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Embe bichi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Embe bichi.
😂😂😂
HayaNitamkamata tu
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Nikajua green appleEmbe bichi.
Hahah...sasa we wauliziaje vitu obvious
Hahah...yaani unaelewa mwishoniiiiii...wakati watu tushatoa zawadi za diapers na babysuits
Kautumia vizuri msimu wa kibaridi uloisha
Hahah...sasa we wauliziaje vitu obvious
Hahah...yaani unaelewa mwishoniiiiii...wakati watu tushatoa zawadi za diapers na babysuits
City garden hapa karibu
Jr[emoji769]
Okei....okeeeei[emoji85][emoji85] itakuwa wenge tu kaka hata sikuona vizuri chenye amehold
Sent using Jamii Forums mobile app
Jael kwake ni kesi nyingine, anza kutafutia majina yeye[emoji23][emoji23] daah haya mambo inabidi tuulize kwanza,, maana hata mie napenda embe mbichi ila sina hiyo kitu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Jael kwake ni kesi nyingine, anza kutafutia majina yeye
Naona tayari....hongeraaaa!!!