Teh yeh teeeeh!! Mnyakyusa ni mnyakyusa tu hata azaliwe New York.
Wanaume tuna kazi sana humu ndani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bora mie last born nilidekezwa na wote[emoji85][emoji85]
Japo mwanzo mama alinipa vichapo vya hapa na pale maana nilikuwa mtundu mimi jamani[emoji134][emoji134][emoji134]
Ila pacha wangu( baba) hakuwahi hata kunifinya. Mkinipiga asubuhi nasubiri jioni akiwa anarudi naanza kulia upyaaaa.
Mimi huyu mwenye moyo wa kupondeka?
Mengine ni siri za kambi,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo kazi mnajipa wenyewe tu,, unawezaje kufall kwa mtu kisa id au avatar?? Na wakati mnajua kabisa hizi ni fekero tu haki kaka zetu sijui mmerogwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mengine ni siri za kambi,
Wewe huwezi elewa bwana.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti enh?? siwezi elewa wakati hata mie nimeshakutana na hivyo vituko kule pm??
Sent using Jamii Forums mobile app
Si bora hiyo, akisafiri siku anarudi nalia vilio vyote kama ni vya wiki au mwezi kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe na wewe ni mziwanda?? Haki waziwanda hapo pa kupigwa asubuhi na kulia jioni ndipo huwa mnatuchosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanafall? Kakudanganya nani wanafall? Wako kazini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo kazi mnajipa wenyewe tu,, unawezaje kufall kwa mtu kisa id au avatar?? Na wakati mnajua kabisa hizi ni fekero tu haki kaka zetu sijui mmerogwa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha, [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sema mgeni alihisi ndiyo michezo yangu.
Kale kabwana mdoto huwaga nakaangaliaga tu [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaa ila ule uzi unasema mwanamke yeyote wa kinyakyusa aliyezaliwa kwenye ardhi ya mbeya
Sent using Jamii Forums mobile app