Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah sasa sisi kwetu wanaodekezwa na mama ni first born na last born sisi wa katikati tupo tupo tu,, halafu sie mzee wetu ndiyo mkali kuliko bi mkubwa..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu hapo mimi ni last born, jaribu kuwaza maisha ya hao wakubwa dear!!
Sent using Jamii Forums mobile app