Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,487
Hahahaha, basi nimepitwa

Hili SI la kuuliza.

Mwenye bodA Anakata gogo chaka ama vepe mbona hayupo hapo?Nampa nyota tatu mwenye hii moto kaa kanikumbusha mkulima mmoja nilimsoma darasa la nne Mr sangoi View attachment 1294822
Sent using Jamii Forums mobile app



doh kwahiyo na zile nyingine nilizowahi post nazo uliziiba??
Hili SI la kuuliza.
Sina utaratibu wa kuomba picha Mara nyingi nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app