ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,494
- 126,783
Hongera, ilà hicho chakula sikipendi hatari...Niko live na maishaView attachment 1294343
Hongera, ilà hicho chakula sikipendi hatari...Niko live na maishaView attachment 1294343
Me too.[emoji41]Sikupendi tena[emoji41]
Hongera, nisiseme nimekuonea wivu maana mm sio demu,
Tunaweza kua marafiki?
..wewe tu nini!!! Nasema mi sikupendi tena[emoji41]Me too.[emoji41]
Maana yake nn?
Maana yake nn?
Pole,Nimelewa pombeee nitajibu kesho nisije jipost buree[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Paul sergio de sauza (?)
Sasa wewe Hadi za hapa zinakupita[emoji134]Khaa sijawahi kuona mgonjwa anamtegemea maiti,, wewe si ndiyo mzee wa makoneksheni mama mie nakutegemea wewe usiniangushe..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani umekuja mjini naona kama ndio wafichwa zaidi...khaaah!
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] Yaani ninavyojitahidi kuwa active hivi bado naonekana nafichwa?? Wakati huku wanaonizunguka wananiuliza JF kuna nini hadi nashinda humu?? [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujambo...
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] aisee.. TumetofautianaHongera, ilà hicho chakula sikipendi hatari...
Ungepunguza dharau kidogo..Wewe mwanamke au mwanaume, coz hata wanawake wana ndevu wengine