Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,432
- 104,247
Achana nao wanajifariji tu!Nilishaogopa sana humu ndani, unajua kumbe kuna watu wana screenshot fasta for future use
Sasa pic wanaenda nazo wapi?
Wee tupia vitu tusafishe macho kipenzi..!!
Achana nao wanajifariji tu!Nilishaogopa sana humu ndani, unajua kumbe kuna watu wana screenshot fasta for future use
Mie sijaona nimepitwaa😢Nilishaogopa sana humu ndani, unajua kumbe kuna watu wana screenshot fasta for future use
Chino zamu yako weka pic, tena ulinipromise unakumbuka?Kweli home boy wangu Hajj ngarama hakukosea ku point.
Umetisha sana mkuu
Mpole kwako na ShesRise_1 ila Mimi sio mtu wa ma ugomvi ushawi ona mimi namtukana mtu toka ujiunge jf.😹😹😹 Leo umenichekesha sana!!
Nakuonaga mpole kumbe muhuni flani hivi..!!
Subiri nitafute location yenye maua nitupieMie sijaona nimepitwaa😢
Sawa dada mzuri 🤗Subiri nitafute location yenye maua nitupie
Nitatupia tu subiri ninunue gauni jipya.Achana nao wanajifariji tu!
Sasa pic wanaenda nazo wapi?
Wee tupia vitu tusafishe macho kipenzi..!!
Mimi JF nashindwa kualewa unaweza kukaa huna hili wala lile mtu anakuja na rundo la matusiMpole kwako na ShesRise_1 ila Mimi sio mtu wa ma ugomvi ushawi ona mimi namtukana mtu toka ujiunge jf.
Umemuona mtu kabisa kaja direct Kuni attack; na katika vitu ambavyo vimenishindwa ni kumuachia mungu
😹😹😹😹 Aiseee..!!Wewe ni mwanaume halafu Mtandaoni unachunguza maisha ya watu. Mbona unaleta uchoko?
Leo umenichekesha sana 😹😹Mpole kwako na ShesRise_1 ila Mimi sio mtu wa ma ugomvi ushawi ona mimi namtukana mtu toka ujiunge jf.
Umemuona mtu kabisa kaja direct Kuni attack; na katika vitu ambavyo vimenishindwa ni kumuachia mungu
Jf vichaa ni wengi! Kuna watu siku zote comment zao ni za maudhi.Mimi JF nashindwa kualewa unaweza kukaa huna hili wala lile mtu anakuja na rundo la matusi
Shemeji umechafukwa 😹😹😹Ukipunguza shobo utapunguza na uchoko pia.
Watu wa kariakoo sherehe Kila sikuEm nijiandae niende kwenye sherehe mie 😹😹
JF kutanifanya nichelewe kwenda kulewa..!!
😹😹yako mbn siiioni humu sasa
😂😂😂 jamaniii!! Hukumu bado mbona.Naona ghafla tuko kisutu 😹😹
Sorry mkuu, hivi wewe ndiye umeolewa na cocastic ama wewe ndiye umemuoa...? Yani sielewi nani Ke nani Me...Hapa bongo unaweza kuona mwanaume kavaa jeans kumbe shangingi😅
umechelewa mods wameifuta😄😹mbn haipo sasa
Oh shemeji mda ule nilikuwa road nadrive nilikuwa nashindwa kutype.Shemeji umechafukwa 😹😹😹