Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,776
- 26,917
Salama shemeji mzima wwMambo shemeki
Huku ccy ni balaaa uje basi mwanzaNiko poa sis!! Jua la elnino tu huku!
Nije na dada yanguHuku ccy ni balaaa uje basi mwanza
Am coming December nina safari huko sis jiandae kunitembeza!!Huku ccy ni balaaa uje basi mwanza
Miss you sanaaa Wigee!!
Nimesema tuende woteDecember nina safari huko sis jiandae kunitembeza!!
Kabiiiiiiisa mdogo wangu itabidi twende kumsamilia Lovelovie ajiandaeNimesema tuende wote
KabisaaKabiiiiiiisa rafiki itabidi twende kumsamilia Lovelovie ajiandae
Fanya jambo nisafishe macho kwanzaKabisaa
Sister bhanaFanya jambo nisafishe macho one time
Ndio mdogo wangu nasikia umekua mchungaji sikuhizi hebu nikuone aseee!!Sister bhana
Basi wakija tuwapokee kama Jinsi walivyokuja, au sio dada yangu?😅Kwani nimesema nataka kuwaendesha jamani mbona mashikoro 😅😅🙌🏼
Hebu wakafie huko na vijiba vyao
Ndio maana yake maana vitisho vimekua vingi watu tusipumue lol 🙌🏼Basi wakija tuwapokee kama Jinsi walivyokuja, au sio dada yangu?😅
Wengine bhana, ugomvi wa Maneno aanzishe yeye na Bado yeye ndie anayekuwa wa kwanza kwenda kukushitaki kwa mods upigwe ban!😅😹😹😹😹 Aiseee..!!
Ngoja tuwakomeshe. Leo upole tunaweka pembeni.Ndio maana yake maana vitisho vimekua vingi watu tusipumue lol 🙌🏼
Imebidi nicheke kaka dah😅😅Ngoja tuwakomeshe. Leo upole tunaweka pembeni.
Ndio hao wanaoleta bifu na wanawake alafu akiitwa shingingi Linalovaa jeans na lenyewe Lina mind?.Najua vizuri tu na wana makasiriko 😅
I