Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nani kaku report? Umefanya nini kwani?
Kuna Jamaa anahisi labda nimemtukana, lakini Mimi nilitaka nimwambie ukweli aache kukufuatilia. Si ulikuwa unaona mwenyewe anakukosesha Raha nami sitaki ukose amani mke wangu.

Sasa humu wapo waheshimiwa, viongozi wakubwa na wanasoma Kila tunachokiandika, Hivyo lazima uwe makini na machaguzi wa Maneno ya kabla ya kuandika.
 
Sasa kaka mtu umekaa zako umetulia labda ume comment sehem kwenye uzi au nimefungua zangu uzi

Gafla mtu kama chafya anakuja na maneno ya karaha na matusi mpaka unajiuliza huyu veep?

But kingine nimegundua watu humu wanaona wivu kwa watu hata wasio wajua ajabu kweli kweli
Ndio walivyo binadamu. Huwezi kuwaendesha waende unavyotaka wewe. Kikubwa ni kuwa mtulivu dada yangu.
 
Back
Top Bottom