Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Heh we kaka mbona kama unanirushia madongo kulikoni?

Sio wewe ulieleta vifungu na mimi nikakujibu kutumia hivyo hivyo vifungu ulivyokuja navyo ?

Mie kwanza na bibilia wapi na wapi nasoma kama ninavyosomq katiba tu

Watu wadini nadhani ni waovu na wabaya kuliko wapagani


Maoni yangu ndio yamekufanya unatoa povu kiasi hiki kisa nini hasa au kuna jengine lol 🙌🏼
Sijakujibu wewe. Please relax!
 
Nani mpenda udaku? Nisome vizuri; na please usianze kuchukulia vitu personal. Tulikuwa tunaeleweshana tu - tena ni wewe uliyeanza kunikwoti na embedded hominem attack!
Wewe hapo ndio unapenda udaku ndio maana unaushadadia
Nisamehe kama nimekosea kusema hivyo kila la kheri katika kusaka ma file na kuyaanika
Panda kwa uangalifu vinginevyo usilalamike wakati wa mavuno ukifika! Upande bangi halafu utegemee kuvuna ufuta. We ulisikia wapi? Kwa Mwamposa? 😳
Watu washapitia makubwa zaidi ya hayo na still wanasimama
Hao waliopitia hilo seke seke umesikia hata mmoja ajinyonga ?

Wewe kama furaha yako iko hapo keep going bro
 
Muda wa kuchamba umbea na wewe sina..

Sijakukwoti, na hata ikitokea nimekukwoti wewe kama nani usikwotiwe?
Ukinikuta nime mquote brother coca ni marufuku kuja kuingilia... La sivyo utasababisha mengine umesikia binti...

Nashukuru nimekuwa mwingi wa busara la sivyo ningeshakuvuruga vibaya sana... na ban ungepigwa... you know me...

Endelea na umbea, hayo si mambo yangu... siku njema.
 
Ushavuka misingi ya mijadala jadidi. Kamwe usiingize vitu personal. Ooh mara mpenda udaku. Mara hivi. Hayo yanatoka wapi? Mbona huwa unaweka thread nzuri objective na zenye u great thinker kabisa? Mbona hapa unapuyanga tu na hisia zako kama vile siyo wewe? Did I trigger something in you mpaka umeanza kutoa povu na kupaniki hivi? Are you appealing for public sympathy? Kwa nini ulinikwoti na embedded hominem attack kama huna kifua cha kufanya mijadala ya hoja bila mihemko?

Please relax!
Soma kwa tone ya kawaida hakuna sehem niliyo panic

Na tunaweza kuacha huu mjadala kwa sababu zifuatazo

1 Ni Mjadala wa kishambenga usio na faida yoyote unaweza kupelekea kuvunjiana heshima

2 huu mjadala mwelekeo wake haujengi wala hauna manufaa kwangu kwako na kwa wasomaji zaidi ya kujichoresha

Unavyonishangaa na kuhisi ni me panic na tofauti na unavyonijua

Mimi pia same to you kuona ukiwa upande wa vitu vya namna hii licha ya kua sikuwahi kujua huu upande wako

Kwa heshima na taadhima mie na chutama mkuu

Tuishie hapa maoni yako nayaheshimu maoni yangu yaache kama yalivyo ikiwa hayana athari yoyote kwako

Wakati mwema kwako 🤝🤝
 
Kwa Experiance yangu ukishakubali kuliwa jf we kua low key tu!! Unakua huna jipya!!

Humu waendelee kugawa at their own risk. Humu watu wana sifa unakuta umeshusha zako Uzi wako mkali huko intelligence au siasani.

Anakuja mtu anakuja mtu anakuambia hamna kitu Malaya tu!! Hapo kama umeshaliwa kaa kwa kutulia tu usijitutumue ukijitumumua kumbe mtu kashamwagia ma Kila kitu yake.

Kikubwa tunzeni hizo maliasili zenu mlizobarikiwa
Hivi wee ni ke au me??
 
Ukinikuta nime mquote brother coca ni marufuku kuja kuingilia... La sivyo utasababisha mengine umesikia binti...

Nashukuru nimekuwa mwingi wa busara la sivyo ningeshakuvuruga vibaya sana... na ban ungepigwa... you know me...

Endelea na umbea, hayo si mambo yangu... siku njema.
Kama jukwaa lako ni sawa nitafanya hivyo..!!

Nimekwambia usinitishe, halafu mbona huna jipya..!! Unitafutie ban wewe kama nani?

Umbea unaupenda ndiomana huishi kuufatilia, tuendelee tu kupiga umbea..!!
 
Back
Top Bottom