πππ naogopa! Naogopa!πΉπΉπΉ udugu wangu mashallah
ππππΉπΉπΉ JF haishiwi hekaheka..!!
Usalama upo wala usiwaze..!
Oh! Wife njoo unipe taratibuβ₯οΈπ.
Kila siku nakuona Bado upo mpya β₯οΈ. Wala hauna ukaleπUduguu wewe unafukunyua ya kale? Kuna nini? Mbona unatishia amani na usalama? Em nidokeze kuna shengesha ipii?
ππππ
Mashallah Kila mahali na Huyo ndio mke wangu.πΉπΉπΉ udugu wangu mashallah
Usiogope, nipo hapa mke wangu. Wape nyingine wakuone, nataka ulimwengu wajue kwamba Nina mke mzuriβ₯οΈπ.πππ naogopa! Naogopa!
Nasubiri ruhusa Yako, nataka nimkanye. Sitaki kuona mke wangu anatishiwa amani.Uduguu wewe unafukunyua ya kale? Kuna nini? Mbona unatishia amani na usalama? Em nidokeze kuna shengesha ipii?
ππππ
Nampambania mda si mrefu nitampa hati ya kiwanja. Nashukuru mke wangu ni mtu mwenye subira.Mkeo hujampa hata nyumba, mwenzio Ntilusemwa ana mjengo mkali wa kupoa udugu wangu..!! πΉπΉ
Aah, kumbe shemeji yangu. Vipi habari za wakwe huko kigoma?!Ako wap huyo mtoto mtoto wa shangaz
Ndugu Yako tupo nae Hapa. Wifeπ.Rhabhekhaaa!! Cuzooo upoo?
Sitaki Tena nikuone unajibizana na wajinga. Nakuomba Tena mke wangu usiwajibu. Sawa?πWewe tenaaa? Hutembei JF bila mie.
πππ
Ngoja niitike vizuri sasa "Abeeeee"
Shemeji nakuona. Sura ya kazi. Kuna mrembo humu Mallerina. Yupo yupo tu. Nataka tufanye jambo la kheri.
Mkulima gani wewe na ulivyo humble. Acha kutuchora. Vipi habari za hapo Kanda ya ziwa?! Mnatunyima Nini huko? Aisee na sisi mtupatie.Nimeiwekea filter imekomaa vizuri tu si unajua wakulima tunavyofananaπ
Lovelovie tuonyeshe hizo love nasi tukuone.π
Kwani bro Smart911 hivi imekuwaje mpaka unamuacha shemeji yetu anapigwa mtama wa maisha na jua linamuakia?!Maisha yamenipiga mtama lamama na Jua limechachamaa basi tabu tupu
Na Bado anatuambia yeye ni mkulima.Mikono soft hiyo, kucha za bei mbaya. Huwezi kupara samaki wewe..
Leo tupatie Picha Yako, maana mke wangu cocastic anazipenda sana Rasta nami nataka nimtafutie Mwalimu amfundishe namna ya kuzifuga apendeze.π π usiku mwema kesho nayo siku
Mandula ni nani?πMandula hajambo? πΉ
Kakuletea zawadi gani mpya?
Mallerina si unasoma? Wewe haupendi tour za kwenda mikumi?πΉπΉ Huyo ana kibuzi chake kinamnunulia migambuti basi anatusumbua kweli..!!
Hata saa 8 usiku akiitwa anakipeleka afu pesa hana..!!
Si bora apoe kwako walau ataambulia vitour vya kwenda kushangaa tumbili Mikumi πΉπΉπΉ
Upate mume Sasa udugu wako naye apumue sio kwa mtaja taja huku unamtishia amani na wakati mwenzio nipo naye ametulia na ndoa yake.πΉπΉπΉ Chivundu nafurahishwa na pirika zako za kunisifia, hakika safari hii nitapata mume JF.