Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

We bana tulia hapo, shem anaonekana mambo safi uhakika wa kulala upo ana mjengo mkali..!! 😹😹

Sasa mng’ang’anie Mr mandula uishie kuitwa mpangaji na wakati mjengo wa bure upo..!!
Hivi mrembo kama huyu Mallerina Kuna wanaume wanampangisha chumba? Aisee hapana?! Huyu mrembo anahitaji mwanaume wa kumuweka ndani. Mjengo wa Bure na huko kigoma karibu kila kitu ni Bure.

Tukisema tumuache atazeekea mjini na kuishia kupata Hela ya kula. Na wakati mwanaume wa kujenga nae maisha yupo Hapa. Ntiluseswa
 
Awwwww 🔥🔥😍

Ndoto ya kila mdada, no kitambi..!! 🥰🥰

Sema wasukuma 🙌 wakaka wa kisukuma mko 🔥🔥
Kuna namna mmependelewa banaah..!!


Mallerina hapa vipi?
Ole wako uanze gubu na kwa manyanza..!!

Sema kwenye kuku spoil uhakika sina.. 😹
Akimkataa na huyu tunamshikia fimbo.
We Mallerina sisi tupo seriously.
 
😅😅
Mie siwezi nataka wale wakula chips
Na mayonnaise

Kwanza ulienda wapi?

Kichugu wich namiliki mashavu mpaka mwajuma nichokonoe haishi kuanzisha nyuzi 😅💔

Saivi amebakiza kuvaa kikuku na ushanga + kijora maana ngebe zake sio za wanaume kamili nahisi ni kama
Simba haina doumbia

Watu wapo kujenga hoja yeye anataka kuingia uwanjani kumanua vidole hivi 👌
Dada yangu! Mbona ngumi Tena?😅
 
Hivi mrembo kama huyu Mallerina Kuna wanaume wanampangisha chumba? Aisee hapana?! Huyu mrembo anahitaji mwanaume wa kumuweka ndani. Mjengo wa Bure na huko kigoma karibu kila kitu ni Bure.

Tukisema tumuache atazeekea mjini na kuishia kupata Hela ya kula. Na wakati mwanaume wa kujenga nae maisha yupo Hapa. Ntiluseswa
Mallerina umesikia 😹😹
 
Shem vipi? Naona notification kama zote..!!
Oh shemeji, Leo nipo free somewhere nikipata wine na wifi ya Bure😎. Karibu.
 

Attachments

  • Screenshot_2026_1101_150002.jpg
    Screenshot_2026_1101_150002.jpg
    112.6 KB · Views: 3
Back
Top Bottom