spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,817
- 23,368
Mzee wa mitumbwi leo hatulali?
Nipo ziwani hukuMzee wa mitumbwi leo hatulali?
Umeamua kuninyima migebuka sio?Nipo ziwani huku
Mikono mizuri hio utaweza kushika migebuka sasaUmeamua kuninyima migebuka sio?
Haya njoo tukeshe huku nchi kavu 🧗🏼♀️
Nimeiwekea filter imekomaa vizuri tu si unajua wakulima tunavyofanana😅Mikono mizuri hio utaweza kushika migebuka sasa
Mikono soft hio imezoea kazi za wasomi makompyuta maninkNimeiwekea filter imekomaa vizuri tu si unajua wakulima tunavyofanana😅
Aah so kweli kaka spiderMikono soft hio imezoea kazi za wasomi makompyuta manink
mikono haina magaga whyAah so kweli kaka spider
Editing tu kamanda, ukileta migebuka ntakushangaza sanamikono haina magaga why
UtadumuEditing tu kamanda, ukileta migebuka ntakushangaza sana
Si ndioUtadumu
Editing tu kamanda, ukileta migebuka ntakushangaza sana
😍
Kama kawaida yako, kujaza wenzio 😅Mikono soft hiyo, kucha za bei mbaya. Huwezi kupara samaki wewe..
Kama kawaida yako, kujaza wenzio 😅
Mtu akija kukusoma anatamani ashuhudie mwenyewe, kumbe viazi tu😁
Haya weka vituz hapo na mi nipate cha kusifiaSijazi mtu mie, nasema ukweli.
Hebu namie niione kwanza kitambo sana ujue!!Nimeiwekea filter imekomaa vizuri tu si unajua wakulima tunavyofanana😅
Ulipotelea wapi kwani ma mkaree?Hebu namie niione kwanza kitambo sana ujue!!
Maisha yamenipiga mtama lamama na Jua limechachamaa basi tabu tupuUlipotelea wapi kwani ma mkaree?