ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,140
- 50,985
Mawinga mna hela niuzie IPhone kumi na moya kuna mateni yanazaa hapa 😅Pesa nizitoe wapi mi choka mbaya winga tu! 😹😹
Uongoooo bana tokaKwanza hapa nawaza niogee sabuni ya unga 😹😹
Hizo tuogee sisi
Huwezi kuelewa wewe wa kishua hupandi daladalaUbalozi wa USA afu kisiwa?
Em elezea vizuri sijakupata hapo..!!
Iko hivi ukifika Morocco kama unatokea kinondoni si kuna mataa pale mkono wa kulia njia ya kwenda msasani namanga sijui kariakoo sina uhakika sana 🤣🤣
Mkono wa ku shoto kama unaenda kijitonyama sijui makumbusho bana elewa hivyo hivyo 😅😅
Then sasa ukija kuleta skincare unaacha zote hizo unanyoooooooka unavuka mataaa kuna makao makuu ya Bolt hapo sio wewe nyooshaaa 🤣🤣
Mbele kidogo kuna njia panda hapo hiyo njia moja inaelekea ubalozi wa marekani nyingine hapo hapo masaki nadhani ni upande wa kulia
panaitwa ubalozi sasa wewe huko usiende nyooka tu kuelekea mikocheni kituo kinachofata kuna shopaziiiiii kituo kinaitwa kisiwa ni hapoooooooooooooo hapoooooooooooooo🤣🤣🤣
Hili Paragraph usiponiletea 🙆♀️💔💔💔