Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

1021058.jpg
 
Mimi kwenye harakati zangu ni Mzee Jackson Mihambo kabisaaa
Ni vyema kuacha kama una hizo tabia za Mzee Jackson, unajua kwa umri huu wa Uzee ukijichanganya kwa hao mabinti ni rahisi kupandishwa kisukari na presha

Maana yeye ana nguvu na uhitaji mkubwa wa tendo, wakati sisi Wazee hatuna nguvu za kwenda umbali mrefu

Hapo kifo ni nje nje 😅🙌
 
Miwani yako iko vizuri babu! Ni bukheri wa afya hofu kwako!

Nimefurahi kusikia unaendelea vizuri mjukuu 🙏

Haya macho ya Uzee yananiangusha babu yenu 😅

Nitaomba unisindikize kliniki yangu ya macho mwezi ujao, bila hivyo nitaishia kusikia sauti zenu badala ya kuwaona mkija kunisalimia 🤗
 
Mzee una maneno weye lo! Life has fucked me babu kupata muda wakuja kukusalimia ni kipengele !
 
Back
Top Bottom