Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umenikumbusha natakiwa kununua package mpya ya skin care dadeq na nimebakiwa na shower gel moja tu..!! 😹😹

Nimeingia bafuni mpaka nimecheka
Wanawake kama mbigu ipo tutaingia tunatambaa 🤣 haya dada mwenye mapesa ukinunua na mie naomba package moja location kisiwa

I mean ubalozi wa marekani halafu kisiwa 🤣 fanya kweli ikifika hapo ujue mzigo na upokea 😍
 
Kweli tena, unaziba sana.
Your body is yours
Own it, flaunt it, take care of it.
Naelewa sana tu, mbona na selfie za full body na husemi?
Au unataka nipite naked usoni?
Kuona lips tu kulitosha kabisa kufanya assessment ya juu labda kama una yako na hapo sina msaada

People's opinions don't matter...😊
Sounds like kuna mtu na muogopa lol
I wonder nafanya kwa kiwango changu bila kujali sana nani atalizika
that's me🔥🔥🔥
 
Wanawake kama mbigu ipo tutaingia tunatambaa 🤣 haya dada mwenye mapesa ukinunua na mie naomba package moja location kisiwa

I mean ubalozi wa marekani halafu kisiwa 🤣 fanya kweli ikifika hapo ujue mzigo na upokea 😍
Pesa nizitoe wapi mi choka mbaya winga tu! 😹😹

Kwanza hapa nawaza niogee sabuni ya unga 😹😹

Ubalozi wa USA afu kisiwa?
Em elezea vizuri sijakupata hapo..!!
 
Naelewa sana tu, mbona na selfie za full body na husemi?
Au unataka nipite naked usoni?
Kuona lips tu kulitosha kabisa kufanya assessment ya juu labda kama una yako ni hapo sina msaada


Sounds like kuna mtu na muogopa lol
I wonder nafanya kwa kiwango changu bila kujali sana nani atalizika
that's me🔥🔥🔥

Niwe mkweli, picha hiyo umeificha sana. Wewe kuogopa mtu sio ishu, JF kubwa.
Sio upite naked, umeficha sana. Mimi nimeona lips tuu. Na mimi ni mkongomani unajua.
 
Back
Top Bottom