Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umeona lips ila unaongelea mpaka sura 🤣🤣
Ila kweli bana lips 💋 ninazo bana weee 🤗

Mbona shem 😊
Halafu Chivundu kwenye matukio kama haya hua anajifanya haoni 🤣🤣 lol

Na najua yupo kundi lileeeee
Na sifuti haraka wana masjala watunze
Awwwww mzuri bana 😍😍
Umewazidi ndiomana wanaweweseka..!!

Huyo chivundu kumbe mnaa naye? 😹
Sasa mbona watachoka wao maana trotro umesusiwa kuanzia sura mpaka kichuguu..!!

Huna kitambi mtepeto cha uzazi, kazi imenyooka hivi 👆
 
Wewe tena kwa kusifu huna mpinzani aiseeeee lol 😆

Huyu mtu wa Kongo Chivundu ni rafiki yangu mzuri tu si unajua ni rafiki wa wote mie na mtania tu maa🤣🤣
 
Umeona lips ila unaongelea mpaka sura 🤣🤣
Ila kweli bana lips 💋 ninazo bana weee 🤗

Mbona shem 😊
Halafu Chivundu kwenye matukio kama haya hua anajifanya haoni 🤣🤣 lol

Na najua yupo kundi lileeeee
Na sifuti haraka wana masjala watunze

Sio sioni. Nimeona, sema unaziba sana, hatuoni vizuri.
 
Back
Top Bottom