Kapachino weyayuuuuuu mayifurendi
Binti mwenye "kichuguu" chake.
Kapachino weyayuuuuuu mayifurendi
😹😹😹 Utaota shauri yako..!!Weka bi mzuri. 😊
Kaka hadi wewe umeingia kwenye mkumbo wa LamomyBinti mwenye "kichuguu" chake.
😹😹😹 Ufurahie mi kwenda kupigwa miti?
Aiseeee hapana nimehairisha..!!
Miti ya kwenye ndoa nasikia non stop mna mpaka morning glory na midnight heavy 😹😹Kuolewa sio "kupigwa miti" peke yake. Yapo mambo mazuri na mema yanakuja kwa mtu kuolewa. Hizo "miti" hata usipoolewa unapigwa tuu.
😹😹😹 Utaota shauri yako..!!
Waekee wenzio kichuguu waone, Umepewa bure acha kukibania..!! 😹😹Kaka hadi wewe umeingia kwenye mkumbo wa Lamomy
Ujue wewe ni rafiki kitambo 😊
Enzi avatar umeweka yule mtu amevaa suti
Kichuguuu hichoooo wale wa masjala wahini upesii🤣🤣🤣Waekee wenzio kichuguu waone, Umepewa bure acha kukibania..!! 😹😹
Kaka hadi wewe umeingia kwenye mkumbo wa Lamomy
Ujue wewe ni rafiki kitambo 😊
Enzi avatar umeweka yule mtu amevaa suti
Vinatofautiana lakini usisahau..!!Ningekuwa naota kila siku sasa, maana tunalala navyo na kuamka navyo.
Side mnyamwezi dah niweke basi kwa side 🤣🤣Sio kwemye mkumbo, "kichunguu" unacho kweli.
Kuhusu avatar; yule ni jamaa yangu anaitwa side mnyamwezi. Ndio mwenye picha ile. 😊
Mashallah 😍Kichuguuu hichoooo wale wa masjala wahini upesii🤣🤣🤣
Miti ya kwenye ndoa nasikia non stop mna mpaka morning glory na midnight heavy 😹😹
Na hakuna kuvaa chupi nyie ndani kama mpo zama za mawe..!!
Waekee wenzio kichuguu waone, Umepewa bure acha kukibania..!! 😹😹
Tutaamini vipi na kila kukicha wake zenu wapo clinic na makadi.Waongo, labda ndoa ikiwa changa, mnabaki mazoea tuu. Mungu aliuumba mazoea na kukinai. Mkishakua "mwili mmoja" inabaki mazoea tuu.
Umeona lips ila unaongelea mpaka sura 🤣🤣Mashallah 😍
Mtoto Una lips za kufyonzwa weyeee..!!
Kasura kazuri afu ka pliz babe kiss me..!🔥
Sio mtu msura umejaa km sinia la wali wa arobaini..!! 😹😹
Hapo shem lazima adinde muda wote..!!
Kapachino kazi unayo mwaka huu huchomoki..!! 😹
Side mnyamwezi dah niweke basi kwa side 🤣🤣
Nikitoe wapi miyeee mifupa mitupu plus na huu mdomo basiiiii nishakuwa Mange jr 😹😹Lamomy hebu na wewe weka, kishada cha kizungu tukione basi. 😊
Vinatofautiana lakini usisahau..!!
😅😅 mie na dini wapi wapi na wapiJamaa yangu Side, baadae alikuja kuingia kwenye dini, yupo Temeke huko. Labda kama unataka usilimu na uwe mke wa tatu.