Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi top four yangu ya wa zamani ni:
1. Pele
2. Zinedine Zidane
3. Diego Maradona
4. Eusebio

Na top four yangu ya wa sasa ni:
1. Lionel Messi
2. Cristiano Ronaldo
3. Neymar Jr
4. Kylian Mbappe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua nini kaka, European soccer yote ipo kwenye wakati mgumu sio Barca pekee...

Siku hizi hakuna wachezaji vipaji mkuu...

Tazama timu kubwa zinavyo struggle sasa, na mfumo wa academy ni kama miaka ya karibuni umekuwa hauna manufaa

Talents zipo sana tu, hata kwenu. Frenkie na Arthur ni super talents zile, Dembele pia, so hakuna excuse. Uongozi wenu ndio majanga, na udikteta wa kale kajamaa kenu.

Academy pia zinafanya yake kama kawa, ni nyinyi tu mmeamua kuzipuuza ili muone kama mtapata mafanikio kama Real Madrid. Madrid pekee kwa sasa kwenye timu inayoanza ina wachezaji si chini ya 7 waliokuja klabuni wakiwa teenagers au walianzia timu za watoto.
 
Nitake radhi mkuu JF nimeijua kitambo sana,, halafu mie situmiagi mitandao ya kishamba kama FB..


Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo leo unaikana fesibuukuu kweli😂😂😂 wakati ww ndio ulikuwa mkali wao kwenye kupost picha zile umejibinua.🙌😂😂

Leo umefunguliwa dunia huku kwa GT unamuona Mark takataka😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…