Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Aise acha kabisa,, mimi ni Barca damu damu Barca for life.. haha halafu kuna picha niliwahi tupia humu nimepigilia jersey ya Barca

Wewe kwa uingereza uko wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah was that Barca's or Chelsea's? nakumbuka kuna siku ulikuwa in full kit

Man U Karma, zote nilianza nazo 1994, kipindi ya TV broadcasting evolution in bongo, hapo mpira tunatazama kupitia KBC ya KE au TVZ ya Zenji kwa antenna yenye booster au kwa wenye nazo walikuwa na zile dish nyeusi za wavu hapo unapata TV za Angola na nyingine nimezisahau...
 
Are you serious?! 94?!
Mmmhhh, sijui nilikuwa na miaka ngapi!
 
Au karibia ni lile gofu la kiwanda cha kahawa
Dah...mzee mi nina kumbukumbu ndogo sana ya maeneo ya Majengo/Njoro huko...

Wakati huo nilikuwa naenda sana mitaa ya Mkaleso (sijui kama bado ipo), kuna jamaa zangu walikuwa huko...hapo chuga ndio ilikuwa makazi

Chuga Moshi ilikuwa ni dk 45 kwa coaster, enzi hiyo hakuna wazee wa favor, so unakwenda Moshi kuzuga baadaye unageuza Chuga
 
Mimi nimekaa sana maeneo ya njoro so maeneo mengi sana ya hapo nayapata vizuri.Hiyo mkaleso siifahamu kwakweli.
 
Are you serious?! 94?!
Mmmhhh, sijui nilikuwa na miaka ngapi!
Yes darling ...94 it is

Hata World Cup wabongo wengi tulianza ona kwa TV, the same year pia kulikuwa na AFCON ambayo kwa wapenda soka ilikuwa ni AFCON yenye kujaa huzuni na furaha, maana Zambia ambao walitoka poteza timu yao ya Taifa walifika fainali kwa timu mbadala iliyoundwa shaa shaa kwenda kushiriki

Inawezekana tulikuwa na miaka sawa ila nina memory zaidi yako ....
 
Sakayo alikuwa primary school

Sent using my 6x6 bed.
 
Back
Top Bottom