Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaha no 'wore' in Africa,, four wa muda wote na four wa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah, four wa muda wote huo ni utata maana ni wengi mno...anyway lemme list em down bila kujali namba...

1. Maradona (nimemuona mwishoni mwishoni)
2. Pele (sijamuona kabisa isipokuwa kwa highlights)
3. Ronaldo de Lima
4. Messi

Wa sasa, ila napo kuna wengi zaidi ya wanne
1. Messi
2. CR7
3. Marcelo (left back ya Madrid)
4. Iniesta
 
Euro basketball huwa sitizami sana...labda game moja au mbili kwa mwaka kwa hiyo huko hata sijui nini inaendelea...hahah

Kaka hakuna wakati nilijua tutashake kama walivyoondoka mchawi Gaucho, Etoo, Xavi na Iniesta but look where we're now...

Euroleague, La Liga, Copa, popote ilipo Real Madrid kwa namna yeyote nipo. Hata NBA sasa naifuatilia sana kwa sababu kuna Real Madrid mule.

Kipindi wanaondoka hao jamaa, mlikuwa na system na andunje ndio alikuwa amekuja. Sasa hivi mnajikokota kwa uwezo wa kale kajamaa tu, so mtapata shida sana kakichoka.
 
Unajua nini kaka, European soccer yote ipo kwenye wakati mgumu sio Barca pekee...

Siku hizi hakuna wachezaji vipaji mkuu...

Tazama timu kubwa zinavyo struggle sasa, na mfumo wa academy ni kama miaka ya karibuni umekuwa hauna manufaa
Euroleague, La Liga, Copa, popote ilipo Real Madrid kwa namna yeyote nipo. Hata NBA sasa naifuatilia sana kwa sababu kuna Real Madrid mule.

Kipindi wanaondoka hao jamaa, mlikuwa na system na andunje ndio alikuwa amekuja. Sasa hivi mnajikokota kwa uwezo wa kale kajamaa tu, so mtapata shida sana kakichoka.
 
......
Screenshot_20191216-113647.jpeg
 
Back
Top Bottom