Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
MekashtukiaHahah naona kanatuzunguka tu hapa...
MekashtukiaHahah naona kanatuzunguka tu hapa...
Sakayo alikuwa primary school
Sent using my 6x6 bed.


















Yes darling...94 it is
Hata World Cup wabongo wengi tulianza ona kwa TV, the same year pia kulikuwa na AFCON ambayo kwa wapenda soka ilikuwa ni AFCON yenye kujaa huzuni na furaha, maana Zambia ambao walitoka poteza timu yao ya Taifa walifika fainali kwa timu mbadala iliyoundwa shaa shaa kwenda kushiriki
Inawezekana tulikuwa na miaka sawa ila nina memory zaidi yako....
![]()








OooppsssNjoro hapo Relini ndio mwisho,wa treni nadhani,ukishuka pale unakuja kile kikona pale unatokea pale sheli ya Puma,maeneo ya stendi.
Every classic is getting revamped this days
Nimeshaalikwa kwa Hazard CFC hukoo milimani! Nitakuja kukuchukua tuende wote!Hahaha,Tarehe 23 nitakuwa yale maeneo yangu,unialike basi Christmas.
OkayMimi nimekaa sana maeneo ya njoro so maeneo mengi sana ya hapo nayapata vizuri.Hiyo mkaleso siifahamu kwakweli.
Unacheka nini eti jamani!!
Sent using my 6x6 bed.
Hahah hapana darling
Aki kuna mtu alikusimulia jamani!! Miaka hiyo hata mpira wa makaratasi sijui unachezwaje akii....

Hahah...maybe alikuwa anabeba kitenge awekwe kwa mgongo na mamaSakayo alikuwa primary school
Sent using my 6x6 bed.
Hawa jamaa walishatuona maboya, ile kitu si iliisha vizuri tu.
Au wanataka kuleta mambo ya Star wars, mambo ya prequel and sequel.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah hapana darling
Ngoja nisimwage mtama kwenye kuku wengi, hii convo ni yako na yangu tu








, wacha kujiwekelea ati umeanza since 94!!Mzee jana almanusura, thanks to Benzema la sivyo hali ilikuwa tete la sivyo mngeumia...You're a cule? Okay bye.
Unacheka nini eti jamani!!
Wewe sijui kama ulikuwa umezaliwa!
Nimeshaalikwa kwa Hazard CFC hukoo milimani! Nitakuja kukuchukua tuende wote!
HahahaahahhaHahah...maybe alikuwa anabeba kitenge awekwe kwa mgongo na mama