Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Lol free Mike.

20191216_111937.jpg
 
Ah mkuu unazingua sasa,, hakuna mchezaji kwetu aliye juu ya club.. hata kabla ya Messi walikuwepo wengine na Barcelona ilikuwa juu kama hst
Haha ni mtu-mungu kwenu, kwetu ni mtu mfupi tu mwenye matatizo ya kimo chake. Ndio maana ni mkubwa kuliko club yenu, kwetu hakuna kiumbe aliye juu ya club.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lol kumbe na wewe ni wa Barca mkuu? Lol umeisha. Akiondoka mtu mfupi, tutawafanya tunachowafanya kwenye Basketball.
Euro basketball huwa sitizami sana...labda game moja au mbili kwa mwaka kwa hiyo huko hata sijui nini inaendelea...hahah

Kaka hakuna wakati nilijua tutashake kama walivyoondoka mchawi Gaucho, Etoo, Xavi na Iniesta but look where we're now...
 
Ah mkuu unazingua sasa,, hakuna mchezaji kwetu aliye juu ya club.. hata kabla ya Messi walikuwepo wengine na Barcelona ilikuwa juu kama hst

Sent using Jamii Forums mobile app

Hamkumlipia mtu mfupi fine yake ya kukwepa kodi? Hamkuwalipa bonus na mishahara/marupurupu familia nzima ya Neymar? Hamumbembelezi mtu mfupi karibia kila msimu abaki na bonus za hatari? Unajua mara ngapi mmekopa ili kulipa wafanyakazi mishahara sababu ya mtu mfupi?
 
hayo mbona ya kawaida tu

Back
Top Bottom