Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,490
HapanaUnapajua Njoro?
Sent using my 6x6 bed.
Kumbe wewe wa mjini eeehhh
Hongera sana my dear!!Yes mamaa,, japo mie ni Mnyaki pure ila mezaliwa huku mekulia huku.. Mbeya nilienda kusoma chuo tu sasa nimeshamaliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh yeah!Wacha weeee








Na umerudi Dar kuolewa ....(si umwambie na hiiYes mamaa,, japo mie ni Mnyaki pure ila mezaliwa huku mekulia huku.. Mbeya nilienda kusoma chuo tu sasa nimeshamaliza
Sent using Jamii Forums mobile app
)Hapa panaitwa njoro-relini.. Ni mwendo wa dakika 5 kwa mguu ukitokea Stendi kuu ya moshiKinaitwaje nije nikifanyie utalii wa ndani
Yap kabla hujafika uwanjani..Hapana ni maeneo ya Njoro uwanjani kama sijakosea
Sent using my 6x6 bed.
OoohHapa panaitwa njoro-relini.. Ni mwendo wa dakika 5 kwa mguu ukitokea Stendi kuu ya moshi
Sina uhakika sana, ila nadhani ile treni inayotekea Dar-es-salaam hapo ndio kituo cha mwisho
Hapana
Yap kabla hujafika uwanjani..
Oooh
Karibu na kiwanda cha bia?!
Kuna watu mnaufaidi sana Mlima KilimanjaroHichi kisehemu kimechangamka kidogo baada ya ujio treni..View attachment 1293734View attachment 1293735
Hindu Mandal kwa nyumaOooh
Karibu na kiwanda cha bia?!
