Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

it was a 50/50 game...jamaa walikosa a number of clear chances...

msimu huu Barca dhaifu, Real dhaifu lakini ligi tamu maana hii ni kama enzi ya Guardiola vs Mou

Haikuwa 50/50 kabisa, tumeipoteza ile game. Real naona progress, tunajenga timu na bado ni contenders. Barca ndio wanatakiwa kuwa na wasiwasi, sababu mtu mfupi ndio.anafikia ukingoni na hadithi yao itaishia hapo.
 
Back
Top Bottom