Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwenyewe Munchen siyo sana ila PSG damu damu sababu ya Mbappe na Neymar halafu yale maajabu aliyoyafanya Mbappe mwaka jana kwenye kombe la dunia ndiyo yakafanya nianze kumpenda yeye na timu yake,, Neymar nilimpenda alivyokuwa Barca huku amekuwa bishoo sana..

Unaweza ukanipa top four yako ya fasta fasta ya wachezaji bora duniani
toa Munchen (nawashabikia wakicheza na wabaya zetu tu) na PSG (huwa sina shauku ya kutazama Ligue 1), the rest ni sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You made him lol,, kwani sisi Messi ndiyo hatukumtengeneza?? Kumbe hata wewe unajua kuwa ni mtu mungu enh!! Messi the god of football aka messiah of football!!
Wala sio offensive, na mmeikubali kabisa lol. FYI, Cristiano Ronaldo tulimuondoa, hakuondoka kwa hiari yake. We made him, we'll make another one. Nyie sasa na kale mtu-mungu kenu, mnatia huruma sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom