Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Umeongea kwa huruma sana jamani!!Nilikuwa tayari nimezaliwa shemeji
Sent using my 6x6 bed.
Umeongea kwa huruma sana jamani!!Nilikuwa tayari nimezaliwa shemeji
Sent using my 6x6 bed.
Inawezekana kabisaHahah...maybe alikuwa anabeba kitenge awekwe kwa mgongo na mama
Hahah was that Barca's or Chelsea's? nakumbuka kuna siku ulikuwa in full kit
Man U Karma, zote nilianza nazo 1994, kipindi ya TV broadcasting evolution in bongo, hapo mpira tunatazama kupitia KBC ya KE au TVZ ya Zenji kwa antenna yenye booster au kwa wenye nazo walikuwa na zile dish nyeusi za wavu hapo unapata TV za Angola na nyingine nimezisahau...
OoohItakuwa poa sana,nimemis sana ndizi mshale
Sent using my 6x6 bed.
Sure thing love
Aki, wacha kujiwekelea ati umeanza since 94!!
...Mzee jana almanusura, thanks to Benzema la sivyo hali ilikuwa tete la sivyo mngeumia...
Hahaha,uchaguzi wa kwanza vyama vingi nilikuwa duniani tayari.Umeongea kwa huruma sana jamani!!
Unapata wapi ujasiri huo etii jamanii!!!Inawezekana kabisa
Hahah halafu unarudi na chenji pungufu, vile umesahau kukaunti all the way vile mama ameelekeza weweHahahaahahha
Hapana, nilikuwa naweza kutumwa dukani kabisaa my dear


Are you serious?! 94?!
Mmmhhh, sijui nilikuwa na miaka ngapi!
OkaySure thing love...

Asante,sasa usilete habari zako za Mtwara 🤣Oooh
Pole sana jamani
Hahah halafu unarudi na chenji pungufu, vile umesahau kukaunti all the way vile mama ameelekeza wewe








Aise basi mimi na wewe tunaongea lugha moja,, Spain niko Barca na England nipo Man U pia yaani mimi kila nchi ya ulaya nina timu moja ninayoshabikia.. zile kubwa kubwa lakini
Nilikuwa mkubwaa
HahahahaHahaha,uchaguzi wa kwanza vyama vingi nilikuwa duniani tayari.
You're a cule? Okay bye.
Unapata wapi ujasiri huo etii jamanii!!!