Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Utafiti
Screenshot_20191212-170332.jpeg
 
Yeah najua ni offensive word mkuu ndiyo maana nimekuambia tuheshimiane,, Madrid tangu Ronaldo aondoke mmekuwa kama mmechanganyikiwa hivi.. you guys haven't managed to get over him yet huh??

Sema La Liga ilikuwa enzi zile za Ronaldo bhana wakikutana na Messi kwenye El Clasico utasema kitu cha derby hiki hapa
Lol aka ya Barcelona fans nayoitambua ni cule. Origin yake huwa inanifurahisha sana, na iko accurate kwa wengi niliobahatika kukutana nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah najua ni offensive word mkuu ndiyo maana nimekuambia tuheshimiane,, Madrid tangu Ronaldo aondoke mmekuwa kama mmechanganyikiwa hivi.. you guys haven't managed to get over him yet huh??

Sema La Liga ilikuwa enzi zile za Ronaldo bhana wakikutana na Messi kwenye El Clasico utasema kitu cha derby hiki hapa

Sent using Jamii Forums mobile app

Wala sio offensive, na mmeikubali kabisa lol. FYI, Cristiano Ronaldo tulimuondoa, hakuondoka kwa hiari yake. We made him, we'll make another one. Nyie sasa na kale mtu-mungu kenu, mnatia huruma sana.
 
Back
Top Bottom