Kwahiyo unamuogopa kumtaja? 😹
Mtaje ili uwajue wenzio mnaoshare kumdonyoa..!! Hii sikufundishi tena 😹
Sitaki kuleta vayolensi.
Kwahiyo unamuogopa kumtaja? 😹
Mtaje ili uwajue wenzio mnaoshare kumdonyoa..!! Hii sikufundishi tena 😹
Umalaya huo 😹Na unamnyimaje mwenzio?
SIjajua huyo kanyimwa kwa mda gani mpaka akaamua kutekeleza hayo maamuzi yako?
Ila na yeye kei zote hizi akaamua kujitundika. Na mashaka na vitu alivyokua akipewa marehemu na mke.
Kuna watu wamebarikiwa sana nashangaa watu wanaosema kei ni kei. Oyaaaa haha.
Kama anajiamini yuko peke yake amtaje 😹
Una kisukari? 😹😹Sitaki kuleta vayolensi bwana.
Hataki husda mwacheKama anajiamini yuko peke yake amtaje 😹
Uzuri wewe sio mkaidi, hilo penzi lazima lidumu..!!Najua sipo peke yangu, mwnamke wa peke yako siku hamna.
Itakua bado hajaonjeshwa anaogopa kumwagwa..!! 😹Hataki husda mwache
Umenifanya nitulie sana ujue hahaUmalaya huo 😹
Fanya delivery kwa spidernyoka nitumie lipa namba kama ni biasharaNikiona 'Nike' kwenye Raba basi washanikamata , hapa tayari nishapata code za kuvalia ukweni .
Kanzu na Raba , kituo kilichobaki ni kanzu nyeupe koti la blue na kofia ya blue 💙 View attachment 3691380
Umeona eeeh kuna mambo hayaelezeki muacheni marehemu alishikika 🙌🏼Na unamnyimaje mwenzio?
SIjajua huyo kanyimwa kwa mda gani mpaka akaamua kutekeleza hayo maamuzi yako?
Ila na yeye kei zote hizi akaamua kujitundika. Na mashaka na vitu alivyokua akipewa marehemu na mke.
Kuna watu wamebarikiwa sana nashangaa watu wanaosema kei ni kei. Oyaaaa haha.
Chino hivi mchuchu wako nani hapa JF tuache kwanza utani..!! 😹Umenifanya nitulie sana ujue haha
Mi hujakosea 😊😎Wote hao wana macrush wao 😹
Steve Rodger’s wako
Chivundu wa Chica
Spider binti kiziwi
Niendelee kushusha mkeka?
Baaasiiii 🤣🤣 ila Selfika makariko kandoItakua bado hajaonjeshwa anaogopa kumwagwa..!! 😹
Tbt napita hapaaMi hujakosea 😊😎
Mate huyo 😹😹😹
Una kisukari? 😹😹
We haulambiMate huyo 😹😹😹
Mapenzi ndo haya sasa 😍
Mi napentraaaa haya mambo jamani..!!
Na mi mate hata cha afu tatu, mate wako naye apewe..!!
Weeeee mi kila siku mwisho watu wajaze albamu ya screenshot, nitaselfika siku ya fally ipupa.binti kiziwi , nakusubiri.