Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 41,980
- 101,100
Hakuna nilipodanganya upande wako wa crush 😹Umedanganya upande wangu.
Hakuna nilipodanganya upande wako wa crush 😹Umedanganya upande wangu.
Haya pitaChat kwa picha
Hakuna nilipodanganya upande wako wa crush 😹
Kwa kweli mshikaji namuelewa yaani vitu vyangu kabisa 🤗🔥Haya selfika basi Mrs Marcostilone 🔥
VAR yangu imekuona na wewe humo papaa mbona unakataa kwa nguvu sana? 😹Chica Gee na Steve Rogers , hawa ndo wanajikwaa pamoja.
Hilo nalijua, halina ubishi.Kwa kweli mshikaji namuelewa yaani vitu vyangu kabisa 🤗🔥
Ila ku selfika niache kidogo🤣🤣
VAR yangu imekuona na wewe humo papaa mbona unakataa kwa nguvu sana? 😹
Ndoa tulia wewe heaven geloHilo nalijua, halina ubishi.
Afu mnamatch sana fanya muoane tuje kula pilau..!! 😹😹😹
Wewe hujui huyo mkongo amemfia bi mzuri wangu kiziwi 🤣🤣 poleeeeHakuna nilipodanganya upande wako wa crush 😹
Wewe hujui huyo mkongo amemfia bi mzuri wangu kiziwi 🤣🤣 poleeee
😹😹😹 Basi mtaje wewe crush wako?VAR yako ya mchongo. 😊
😹😹😹 Basi mtaje wewe crush wako?
AriririririiiiiiiiiiiNdoa tulia wewe heaven gelo
Na huko pia najua yupo 😹😹Wewe hujui huyo mkongo amemfia bi mzuri wangu kiziwi 🤣🤣 poleeee
😹😹😹 Hapa ambaye sio size yako ni bichwa komwe tu..!!Hata nikimtaja mtasema sio saizi yangu. Bora nikae kimya tuu. 😊
Ariririririiiiiiiiiii
Niache mdomo sasa nipate wa kunibebisha..!! 😹😹
Nilitaka kusema huyo mkongo haeleweki mi naona kila sehemu anataka kuweka mguu🤣🤣🙌🏼Na huko pia najua yupo 😹😹
Aaa wapi huko kwa kina ndoa kila siku mapanga nje njeAriririririiiiiiiiiii
Niache mdomo sasa nipate wa kunibebisha..!! 😹😹
Wananiogopa 😹😹😹Kwamba mdomo ndo unakufanya usipate bebi!! Mbona hiyo mpya.