Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 42,301
- 101,827
Ushaanza roho mbaya 😹😹We haulambi
Nitamwambia ulisema hauko serious naye..!! 😹
Ushaanza roho mbaya 😹😹We haulambi
😂😂😂😂😂 wewe mzinguajiMate huyo 😹😹😹
Mapenzi ndo haya sasa 😍
Mi napentraaaa haya mambo jamani..!!
Toka hapa kabla sijamuita Country 😂Na mi mate hata cha afu tatu, mate wako naye apewe..!!
Ulikuwa kadogo ka cute 🥰
Somo baada ya uvumilivu ni mpe mpelelezi taarifa taarifa anavyotakaUshaanza roho mbaya 😹😹
Nitamwambia ulisema hauko serious naye..!! 😹
Dada usiniache pulizzzzz😢Weeeee mi kila siku mwisho watu wajaze albamu ya screenshot, nitaselfika siku ya fally ipupa.
Lamomy mate nimenunua kinyunga cha afu 35 zile nguo ukivaa kesho yake unatupa 😂
Mchuchu Sina!Chino hivi mchuchu wako nani hapa JF tuache kwanza utani..!! 😹
Mamaaa mamaaah tunakufa huku kina binti Sayuni 😍😍😍Sina sukari, sina ugonjwa wowote. Nashukuru Mungu.
Kasulu hadi bank kuna vumbi acha masihara 😂 🔥Sasa nikiwa huku Kasulu ndani
View attachment 3691441
Hizi sasa ndo ewaaTBT 2017 hostel, Chivundu wanawake sio wote wanakuwa wazuri in their 20’s mi nilikuwa kimbau mbau mwiko wa pilau 😩
View attachment 3691442
😹😹😹 Mi nawatania atakayekasirika akakojoe alale..!!Baaasiiii 🤣🤣 ila Selfika makariko kando
Halambi kweli 😂 Umenikumbusha kwetu huu msemo 🤣We haulambi
Mbona kikwembe lol 🤣🤣🤣🙌🏼Mamaaa mamaaah tunakufa huku kina binti Sayuni 😍😍😍
Papaa, Papaa, Papaa
Nimekuita mara ngapi?
Njoo vile uko na maringo mingi kumbe uko muzuri kama Fally Ipupa..!!
Inatakiwa mumama aliyekuweka kwa tumbo apewe zawadi ya kikwembe 😹
Piga mabobo kwa papaaa 🥰🥰🔥🔥
Sizururi otherwise ningekua kama mtumbaKasulu hadi bank kuna vumbi acha masihara 😂 🔥
Wachaa wee, 😂😂😂Vitu kwa ushahidi😹🔥
😹😹😹 nipe zawadi, lakini moyo wako upo kwa yule jamaa The monk uongo? 😹Mi hujakosea 😊😎
😂😂😂😂😹😹😹 Aniletee IPhone kipapri paprii akirudi..!!
kiziwi kumbe wa juzi tuTBT 2017 hostel, Chivundu wanawake sio wote wanakuwa wazuri in their 20’s mi nilikuwa kimbau mbau mwiko wa pilau 😩
View attachment 3691442
Anakasirika asiekujua😹😹😹 Mi nawatania atakayekasirika akakojoe alale..!!
Tunapenda sehemu ambazo hatupendwi tunapopendwa nasi hatupapendi.Umeona eeeh kuna mambo hayaelezeki muacheni marehemu alishikika 🙌🏼
Acha masihara 32 mimi ndio maana nimekuahidi kukuleakiziwi kumbe wa juzi tu