binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,694
- 46,651
Kweli unaonekana ulikuwa mdogooo 🔥
Kweli unaonekana ulikuwa mdogooo 🔥
Pita mamaa nakaa jukwaani kinyonge sanaJamani moona huwa napita ukiniambia nipite? Jana tu na kizi
Kweli aisee nimemshtukia 😌😌Mate, chivundu ana pisi yake alitaka imuone 😹😹
Kama anabisha apite sasa hivi hapa na sisi tumuone..!! 😹
TBT leoPita mamaa nakaa jukwaani kinyonge sana
Yoyote tuTBT leo
We unatupia ya sasa!BK ukitupia ulipokuwa 20's na mimi natupia. 😊
Wote hao wana macrush wao 😹Utazeeka ukiwa single,😹😹humuoni Steve Rodgers..spidernyoka...chivundu?
We unatupia ya sasa!
Usinune sasa 😹Hebu weka mahi nijione kwa uzuri🤣
Wa kumvalia sina 😹Hio tamu hio
Ukivaa na mtaji wa vijora unapokea bila kuomba🤣😹🔥
Anafanya illegal fishing 😹Kweli aisee nimemshtukia 😌😌
Kununa tayari bado kuangua kilio 🤣Usinune sasa 😹
Huu uongo 😹Staki mtu nataka niwe freee jukwani🥳nijiachie
Tena kapita mara 2 🙌🏼Anafanya illegal fishing 😹
Unanuna bado sijashusha mkeka? 😹Kununa tayari bado kuangua kilio 🤣
Ili kuonyesha msisitizo 😹Tena kapita mara 2 🙌🏼
Unapenda kujiamulia mambo sana😹Wote hao wana macrush wao 😹
Steve Rodger’s wako
Chivundu wa Chica
Spider binti kiziwi
Niendelee kushusha mkeka?
Ngoja uone nilivyohuru🥳Huu uongo 😹
😹😹😹 Wakatae kama nadanganya hapa?Unapenda kujiamulia mambo sana😹